Requirements
Diploma katika fani za udereva au ufundi wa malori au vyote.
Uzoefu usiopungua miaka 10 katika udereva wa malori na usimamizi wa madereva wengine.
Uzoefu wa kuendesha aina mbalimbali za malori.
Uelewa wa msingi wa mitambo ya malori kwa ajili ya kutoa taarifa za matatizo
Uzoefu wa kusimamia au kuongoza timu ya madereva.
Uwezo wa kuendesha malori kwenye nchi jirani na Tanzania.
Uwezo wa kuendesha malori yenye tela au vifaa maalum.
Uelewa wa kanuni za usalama barabarani na mbinu za udereva wa kujihami.
Leseni halali ya udereva (Daraja E) kutoka chuo cha udereva kinayotambulika.
Cheti cha usalama au udereva wa kujihami (defensive driving course) kutoka LATRA kitahesabiwa kama sifa ya ziada.
Uwezo wa kutatua matatizo, kupanga shughuli, na kudumisha mawasiliano mazuri kazini.
Uwezo wa kuandaa ripoti za kila siku na kila mwezi za magari yote
Umri usiozidi miaka 45.