Requirements
Awe na Cheti cha kidato cha nne au cheti cha VETA.
Uzoefu usiopungua miaka 5 katika udereva wa kitaalamu wa Malori ya Mgodini.
Awe na leseni halali ya udereva (Daraja E) kutoka chuo cha udereva kinayotambulika.
Cheti cha kozi ya udereva wa kujihami (defensive driving course) kutoka LATRA kitahesabiwa kama sifa ya ziada.
Uzoefu wa kupakia na kupakua mizigo.
Awe na maarifa ya msingi ya matengenezo ya malori kwa ajili ya kuriport tatizo.
Uwezo wa kuwasiliana vizuri na wasimamizi.
Uwezo wa kutunza kumbukumbu sahihi za safari na nyaraka za usafirishaji.
Uelewa wa sheria za barabarani na alama za barabarani za Tanzania na nchi jirani.
Awe tayari kushirikiana na madereva wengine, wapakiaji na wasimamizi, na kufuata kanuni za kampuni.
Umri usiozidi miaka 35