top of page
Matundasi ASM Development Company Limited (MADC) ni kampuni inayojishughulisha na utafiti na uchimbaji wa madini katika Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Chunya.

DEREVA WA MALORI DARAJA LA III (Truck Driver III) – Nafasi mbili (2)

Chunya, Mbeya, Tanzania

Job Type

Dereva

Workspace

Chunya, Mbeya, Tanzania

Requirements

  1. Cheti cha kidato cha nne au cheti cha VETA.   

  2. Leseni halali ya udereva (Daraja E) kutoka chuo cha udereva kinayotambulika.  

  3. Uzoefu wa miaka miwili (02) katika udereva wa malori.   

  4. Cheti cha kozi ya udereva wa kujihami kutoka LATRA kitahesabiwa kama faida  ya ziada.  

  5. Cheti cha kozi ya udereva wa kujihami (defensive driving course) kutoka LATRA  kitahesabiwa kama sifa ya ziada   

  6. Uzoefu wa kupakia na kupakua mizigo.   

  7. Uwezo wa kuendesha malori kwenye nchi jirani na Tanzania.   

  8. Uwezo wa kutunza kumbukumbu sahihi za safari na nyaraka za usafirishaji.  

  9. Umri usiozidi miaka 30

About the Company

Matundasi ASM Development Company Limited (MADC) ni kampuni inayojishughulisha na utafiti na uchimbaji wa madini katika Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Chunya.
bottom of page