Requirements
Awe amehitimu Kidato cha Nne (CSEE) au zaidi.
Awe na Cheti cha Ufundi (Trade Test Grade I) au NVA Level III (National Vocational Award Level 3) katika fani ya Heavy Duty Mechanics kutoka VETA au chuo kinachotambulika na serikali.
Awe na cheti cha FTC (Full Technician Certificate) au Diploma ni faida ya ziada.
Awe na uwezo wa kugundua na kurekebisha matatizo ya mitambo mikubwa kama vile Bulldozer, Excavator, Tractor, Grader na Malori Makubwa ya Migodini (Mining Dump Trucks).
Awe na uwezo wa kufanya matengenezo ya kawaida na ya kina (routine & major repairs).
Kusoma na kutumia michoro ya kiufundi (technical drawings), manuals na wiring diagrams.
Cheti cha ushiriki katika kozi za usalama kazini (HSE) ni faida ya ziada.
Kutumia vifaa vya kisasa vya utambuzi wa hitilafu kama vile multimeter, diagnostic scanners, n.k.
Awe na uzoefu usiopungua miaka 7 au zaidi katika kazi ya matengenezo ya mitambo mikubwa kwenye migodi au katika kampuni kubwa za ujenzi.
Uzoefu wa kufanya kazi katika mazingira ya migodini au maeneo yenye mitambo mikubwa (atapewa kipaumbele).
Awe na uwajibikaji, uwezo wa kufanya kazi bila uangalizi wa karibu.
Aweze kumudu kufanya kazi kwa zamu (shift), muda mrefu, au katika maeneo ya mbali.
Awe na umri usiozodi miaka 45.