Requirements
Awe na Cheti cha Kidato cha Nne (CSEE) au Zaidi.
Awe amehitimu mafunzo ya ufundi stadi wa mitambo mikubwa (Heavy Duty Equipment Mechanics) katika ngazi ya NVA Level II, Trade Test Grade II, au Cheti cha Mafunzo ya Ufundi kutoka VETA, chuo kinachotambuliwa na serikali.
Cheti cha ushiriki katika kozi za usalama kazini (HSE) ni faida ya ziada.
Kufahamu na kutekeleza kanuni za afya, usalama na mazingira kazini (HSE Regulations).
Awe na uzoefu wa angalau miaka miwili (02) katika matengenezo ya mitambo mikubwa kama vile Bulldozer, Excavator, Tractor, Grader na Malori Makubwa ya Migodini (Mining Dump Trucks).
Uwezo wa kufanya utatuzi wa matatizo ya mitambo kwa kutumia vifaa vya kisasa.
Kufanya matengenezo ya kawaida na ya kina kwa mitambo mikubwa ya kazi.
Uelewa wa michoro ya kiufundi (technical drawings).
Kuweza kufanya kazi kwa uangalifu, usahihi na kwa kufuata taratibu za usalama.
Kuwa na stadi za mawasiliano na kushirikiana na wengine katika timu.
Leseni ya udereva ya magari au mitambo (aina C au E).
Awe na umri usiozodi miaka 35.