top of page
Matundasi ASM Development Company Limited (MADC) ni kampuni inayojishughulisha na
utafiti na uchimbaji wa madini katika Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Chunya.
Requirements
Trade Test Grade I au NVA Level III (Auto Electrical)
Uzoefu wa usiopungua miaka 7 katika matengenezo ya magari makubwa na mitambo mikubwa kama vile Bulldozer, Excavator, Tractor, Grader, Malori Makubwa ya Migodini (Mining Dump Trucks) na vinginevyo.
Uelewa wa masuala ya afya na usalama kazini (HSE)
Uwezo wa kusoma ramani za umeme (wiring diagrams) na kutumia manuals
Ujuzi wa kutambua na kurekebisha hitilafu kubwa na ndogo.
Umri usiozidi miaka 45
About the Company
Matundasi ASM Development Company Limited (MADC) ni kampuni inayojishughulisha na
utafiti na uchimbaji wa madini katika Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Chunya.
bottom of page