top of page
Matundasi ASM Development Company Limited (MADC) ni kampuni inayojishughulisha na
utafiti na uchimbaji wa madini katika Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Chunya.
Requirements
Trade Test Grade II au NVA Level II
Uzoefu usiopugua miaka 5 katika kazi ya umeme wa magari au mitambo mikubwa
Uwezo wa kufanya matengenezo ya kawaida (routine repairs)
Uwezo wa kufanya kazi kwa usimamizi mdogo
Umri usiozidi miaka 35.
About the Company
Matundasi ASM Development Company Limited (MADC) ni kampuni inayojishughulisha na
utafiti na uchimbaji wa madini katika Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Chunya.
bottom of page