top of page
Matundasi ASM Development Company Limited (MADC) ni kampuni inayojishughulisha na
utafiti na uchimbaji wa madini katika Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Chunya.
Requirements
Trade Test Grade III au NVA Level I katika Auto Electrical.
Uwezo wa kufanya kazi za msingi kama kuunganisha waya, kusafisha betri, kubadilisha alternator, n.k.
Awe mnyenyekevu, mwepesi kujifunza na mwenye uelewa wa msingi kuhusu usalama kazini.
Umri usiozidi miaka 30.
About the Company
Matundasi ASM Development Company Limited (MADC) ni kampuni inayojishughulisha na
utafiti na uchimbaji wa madini katika Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Chunya.
bottom of page