top of page
Matundasi ASM Development Company Limited (MADC) ni kampuni inayojishughulisha na
utafiti na uchimbaji wa madini katika Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Chunya.
Requirements
Cheti cha FTC, Diploma au NVA Level III katika fani ya Auto Electrical Engineering/Technician.
Uzoefu usiopungua miaka 10 katika matengenezo ya mitambo mikubwa kama vile Bulldozer, Excavator, Tractor, Grader, Malori Makubwa ya Migodini (Mining Dump Trucks) na vinginevyo.
Uelewa wa kutumia vifaa vya kisasa vya kutambua hitilafu (diagnostic tools)
Uwezo wa kusimamia mafundi wa chini na kuratibu kazi za matengenezo
Uelewa wa masuala ya afya na usalama kazini (HSE)
Uwezo wa kuwasiliana vizuri na wasimamizi.
Awe tayari kushirikiana na wafanyakazi wengine kufuata kanuni na taratibu za kampuni.
Umri usiozidi miaka 45.
About the Company
Matundasi ASM Development Company Limited (MADC) ni kampuni inayojishughulisha na
utafiti na uchimbaji wa madini katika Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Chunya.
bottom of page