Requirements
Cheti cha Diploma au Trade Test Daraja la I au II katika kuendesha mitambo mikubwa.
Ujuzi wa kuendesha vifaa vizito usiopungua miaka 7.
Uwezo wa kutumia vifaa vizito kama vile Bulldozer, Excavator, Tractor, Grader, Malori Makubwa ya Migodini (Mining Dump Trucks) na vinginevyo.
Uwezo wa kufanya marekebisho ya kawaida kwenye vifaa na kuhakikisha vifaa ni vipo katika hali nzuri ya utendaji na vinafanya kazi kama inavyotakiwa.
Uwezo wa kutumia vifaa katika mazingira mbalimbali.
Uwezo wa Kuandika kumbukumbu na ripoti za kila siku ili kufuatilia matumizi na matengenezo ya kifaa
Uzoefu wa kufanya kazi za ujenzi, uchimbaji madini, au tasnia zingine zinazohusiana.
Awe na historia nzuri ya utendaji kazi.
Muombaji awe na umri usiozidi miaka 45..