Requirements
Awe na elimu ya kidato cha nne au zaidi.
Trade Test Daraja la I au cheti katika kuendesha vifaa vizito.
Awe na wezo wa kutumia vifaa vizito kama vile Bulldozer, Excavator, Tractor, Grader, Malori Makubwa ya Migodini (Mining Dump Trucks) na vinginevyo.
Uwezo wa kutumia vifaa katika mazingira mbalimbali.
Uwezo wa Kuandika kumbukumbu na ripoti za kila siku ili kufuatilia matumizi na matengenezo ya kifaa.
Kuwa na afya na uwezo wa kuendesha vifaa kwa muda mrefu
Uwezo wa kufanya kazi pamoja kama timu na kufuata maagizo
Ujuzi wa kuendesha vifaa vizito usiopungua miaka mitano (5)
Uzoefu wa kufanya kazi za ujenzi, uchimbaji madini, au tasnia zingine zinazohusiana.
Awe na historia nzuri ya utendaji kazi.
Muombaji awe na umri usiozidi miaka 35