top of page
Matundasi ASM Development Company Limited (MADC) ni kampuni inayojishughulisha na
utafiti na uchimbaji wa madini katika Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Chunya.
Requirements
Trade Test Daraja la III (au cheti kinachoendana) katika kuendesha mitambo mikubwa.
Uwezo wa kutumia vifaa vizito kama vile Bulldozer, Excavator, Tractor, Grader, Malori Makubwa ya Migodini (Mining Dump Trucks) na vinginevyo.
Uwezo wa kutumia vifaa katika mazingira mbalimbali.
Uelewa wa masuala ya afya na usalama kazini (HSE)
Uwezo wa Kuandika kumbukumbu na ripoti za kila siku ili kufuatilia matumizi na matengenezo ya kifaa
Uzoefu wa kufanya kazi za ujenzi, uchimbaji madini, au tasnia zingine zinazohusiana,
Muombaji awe na umri usiozidi miaka 30
About the Company
Matundasi ASM Development Company Limited (MADC) ni kampuni inayojishughulisha na
utafiti na uchimbaji wa madini katika Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Chunya.
bottom of page