Requirements
Cheti cha diploma au Trade Test Daraja la I katika kuendesha Mitambo mikubwa ya ujenzi.
Awe na ujuzi wa kuendesha vifaa vya ujenzi usiopungua miaka 10.
Awe na uwezo wa kutumia vifaa vizito kama vile Bulldozer, Excavator, Tractor, Grader na Malori Makubwa ya Migodini (Mining Dump Trucks) na vinginevyo.
Uwezo wa kufanya marekebisho ya vifaa na kuhakikisha vifaa ni vizima na vinafanya kazi kama inavyotakiwa.
Uwezo wa kutumia vifaa katika mazingira mbalimbali.
Awe na wezo wa kuandika kumbukumbu na ripoti za kila siku ili kufuatilia matumizi na matengenezo ya vifaa
Uwezo wa kusoma na kutafsiri miongozo na michoro ya kiufundi
Uwezo wa usimamizi au uongozi wa timu, mwenye uwezo wa kuwashauri na kusimamia anaowaongoza
Ujuzi thabiti wa mawasiliano na utatuzi wa matatizo
Uzoefu wa kufanya kazi za ujenzi, uchimbaji madini, au tasnia zingine zinazohusiana.
Muombaji awe na umri usiozidi miaka 45.